Diamond Platnumz Awatolea Majibu Ya Shombo Wanaomshambulia Zari
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewajibu wanaomshambulia zari baada ya kuonekana katika mitandao ya kijimii akijiachia na mpenzi wake huyo. Hii ni kutokana na Zari kufiwa na mama yake mzazi hivi karibuni.
Alichosema Diamond Platinumz "
Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe adekezwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza 😛
Post a Comment