Taiya Odero apukutika, watu waanza maneno
Taiya amesema amekuwa akipata tabu kubwa kwa mtu ambaye hajaonana naye kwa muda mrefu ambaye lazima ashtuke akimuona na kudhani labda anaumwa kwani awali alikuwa na uzito wa kilo 78 ambazo zimeshuka hadi 63.
“Watu hawajui tu, lakini ukweli ni kwamba, nilipunguza kulakula vitu vya mafuta na vingine ambavyo siyo vya muhimu kwenye mwili wangu,” alisema Taiya ambaye alifanya poa kupitia Sinema ya Sikitu
Post a Comment