ad

ad

Paulos Weldehaimanot Achaguliwa Rais Mpya CECAFA kwa Muhula wa Miaka Minne

 


Rais wa Shirikisho la soka nchini Eritrea Paulos Weldehaimanot amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la soka Ukanda wa Afrika Mashariki (CECAFA) kwa muhula wa miaka minne.

Wakati wa uchaguzi huo Rais wa Shirikisho la soka nchini Burundi Muyenge Alexandre na yule wa Uganda Mhe. Moses Hassim Magogo walijiondoa kwenye uchaguzi huo ambapo walikuwa wakichuana na Paulos.

Mnamo Septemba 2025, Alexandre Muyenge aliteuliwa kuwa Rais wa muda hadi uchaguzi huo ulipofanyika.

No comments

Powered by Blogger.