Timu Ya Man Utd imeshinda bao 1-0 dhidi ya Norwich mfungaji ni Juan Mata dakika ya 72 na kufikisha pointi 63 nyuma ya Man City nye pointi 64 . Man City wanacheza kesho na Arsenal ambayo ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 67.
Post a Comment