MAZOEZI YA MWISHO YA APR AMAHORO KABLA YA KUIVAA YANGA KESHO
Usidharau
hata kidogo, APR ya Rwanda iko tayari na kamili kuivaa Yanga katika
mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Amahoro mjini Kigali,
Rwanda, lesho.
Yanaga
iko mjini Kigali lakini jana APR ilifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye
Uwanja wa Amahoro ulio katika eneo la Remera. Leo itakuwa ni zamu ya
Yanga kufanya mazoezi katika uwanja huo.
Wachezaji
wa APR walionekana wako fiti, wamerelax na wako tayari kwa mchezo jambo
ambalo linaonyesha Yanga wanapaswa kujiandaa kweli kupambana na
kushinda na si kutanguliza dharau kwa kuamini APR hawawezi kuwatisha.
PICHA KWA HISANI YA KT YA RWANDA
Post a Comment