MAZOEZI YA KWANZA YA YANGA MJINI KIGALI KUJIWINDA NA APR KESHO
Yanga ipo Kigali, Rwanda kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya APR. Itapigwa kwenye Uwanja wa Amahoro, kesho.
Jana ilifanya mazoezi yake ya kwanza kwenye Uwanja wa Ferwafa eneo la Remera mjini Kigali.
Leo
itafanya mazoezi yake ya mwisho na itakuwa jioni kwenye Uwanja wa
Amahoro ambao utatumika kesho kwa ajili ya mechi hiyo inayosubiriwa kwa
hamu nchini Rwanda pia hapa nyumbani Tanzania.
PICHA NA KT YA KIGALI
Post a Comment