Clouds Fm Wamu aibisha Diamond Studio
Ni Baada kutambulisha Ngoma Yake mpya Aliyo Fanya Na Davido Yaani Ngololo remix kwa kukosea nakupiga Ngoma Ya BALOBALO inayo Mtuhumu Diamondo Ameiba Mashairi Pamoja Na Beat.
Lakini Diamond Asanuka mapema na kusema "Mbona tunahaibishana"Clouds kujitetea kuwa Music Department imetoa Ngoma Isiyo sahihi..
Baadae Diamond Aleweza Kutambulisha Poa Na Ikapigwa Fresh.

Post a Comment