UEFA CHAMPIONS LEAGUE:Malaga 0 vs Borussia Dortmund 0.
Malaga 0 vs Borussia Dortmund 0
Malaga na Borussia Dortmund wametoshana nguvu usiku huu kwa kutofungana katika dakika zote 90. Malaga wakiongoza kwa kupewa kadi 3 za njano na moja kwa Borussia Dortmun. Malaga wao wamecheza kulinda wasifungiwe kwao na pamoja na timu hiyo kukoswa koswa tangu dakika za mwamzo..Wachezaji wa Malaga wamecheza kwa kujituma sana na hatimaye mpira kuisha 0-0.

Kocha wa Borussia Dortmund Jurgen Klopp akicheki vijana wake wakimenyana na Malaga kwenye kiwanja Malaga La Rosaleda
Mchezaji wa Borussia Dortmund Felipe Santana akipambana kuokoa mpira mbele yake 
Kocha wa Borussia Dortmund Jurgen Klopp akicheki vijana wake wakimenyana na Malaga kwenye kiwanja Malaga La Rosaleda
Post a Comment