ad

ad

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 3 vs GALATASARAY 0.

Wakiwa kwao Bernabeu, Real Madrid wameifunga Galatasaray bao 3-0 magoli yaliyofungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 9 baada ya kuwatoka mabeki wa Galatasaray na kuanza kwa kuifungia timu yake bao.
 Dakika ya 29 mchezaji Karim Benzema akawapatia bao la pili na bao la mwisho la tatu limefungwa na Gonzalo Higuaí.Licha ya kushinda Real Madrid pia wamekosa kosa mabao mengi ya kufunga kwenye goli la Galatasaray na  pia wao Galatasaray wameweza kukosa kosa mabao kadhaa kwenye goli la Real.
 
Powered by Blogger.