Ajali ambayo imetokea asubuhi hii katika makutano ya barabara ya sokota kati ya gari ndogo na pikipiki. Katika ajali hiyo dereva wa pikipiki alifariki hapohapo na kuchukuliwa na askari. Mwili wa dereva wa pikipiki ukiwa chini Pikipiki iliyopata ajali
Post a Comment