KWA AMBAO HAMKUAMINI LULU KACHUKULIWA NA GARI LA MAGEREZA MAHAKAMANI, PICHA 6 HIZI HAPA.
Chanzo cha hizi picha ni millardayo.com
Kuna
taarifa zilisambazwa kwamba Lulu alichukuliwa na gari binafsi la
familia yake baada ya kutoka Mahakamani, ukweli ni kwamba alichukuliwa
na gari la Magereza kama unavyoona hizi picha baada ya Mahakama kumpatia
dhamana yenye masharti ambayo upande wa Lulu ulisema yote yametimia na
wanachosubiri ni uthibitisho wa Msajili ambae ndio angeruhusu Lulu
kutoka.
Mpaka asubuhi ya january 29 2013 nitakua na uhakika kama Lulu ameshatoka gerezani.
Chanzo cha hizi picha ni millardayo.com

Post a Comment