David Kafulila Ajiondoa Chadema
Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Kafulila aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi na kushinda nafasi ya ubungewa jimbo hilo na alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza suala la utafunaji wa fedha za Escrow, fedha ambazo ziligawanywa kwa watu wa matabaka mbalimbali serikalini na maeneo mengine.
Katika uchaguzi uliopita, Kafulila aligombea tena ubunge lakini
alishindwa na alipofungua kesi kupinga matokeo hayo bado alishindwa
mahakamani. Hii hapa chini ndo barua yake.


Post a Comment