ALICHOSEMA WEMA SEPETU BAADA YA KUAMBIWA KAPATA MPENZI MPYA!

Ni August 30, 2016 ambapo staa wa filamu
kutoka Wema Sepetu ameziandika headlines mitandao baada ya kuwajibu
mashabiki wake kupitia mtandao wa instagram kuhusu tetesi za kupata
mpenzi mpya.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagrama kayaandika>>>Soooooooo, Rumor has it That huyu mkaka ndo New Baby…. Maskini ya Mungu…! First & Foremost, Nimeongea nae kwa simu akaniomba niweze kuwa MC and special appearance at his birthday party… I got my paycheck and did my work… Sasa sielewi Mipuuzi’
‘Inayotokwa
mapovu kuuutwaaaaa kunifatilia na maisha yangu…. Nd mimi nasemaje lets
jus assume it was True, Ni maisha yangu ryt…. So i dont know where all
These Bia**** with LowLives wanakuja na kuanza kufatilia wats goin on in
my Life’
‘God…!!!
Nimewakosea nini Mungu wangu…. Maisha yangu yamekuwa ni deal kwenu….
Naongea na wewe unaeuza Nchi za waarabu…. Leave me and my Life alone… I
keep saying this jamani, Sijawahi bother na maisha ya mtu… I do my
shit…. Huyu kaka simjui na nimemjua on da nyt of his Birthday‘
‘Hata kumuwish sijamuwish….
Nimewish mtu mwingine Birthday ila mijitu mifala inatokwa mapovu Sasa
labda niseme hivi, Wema ana maisha yake n anaishi atakavyo yeye… Maisha
ya Wema hayamuhusu mtu yoyote mwingine and again, My heart belongs to
someone else…. Nd I love my baby tooo much’
‘So
mkiwa mnaandika vitu vyenu vya kipuuzi…. Again Im talking to you,
Stupid Bi-polar Biatch…. Uwe una uhakika….. Kwani unachotaka kwangu ni
nini Mbwa wewe… Wallahy never have I done this in my Life, But this has
just pushed my buttons to da extent that I cannot take it anymore’
‘Nimekaa kimya muda mrefu sana
and I aint a person dat talks too much… Ila napigiwa simu nyingi mpaka
za demu wake na huyu Ally akilalamika and I had to do this…. I keep
telling you unatia huruma, You need a Hug… But nat from me honey’
‘Waarabu
siku hizi hawalipi nini…? Usiharibie watu bwaana… Afu ni sababu
nilikukataa kuwa karibu na mimi ndo maana umenikaa rohoni au…. Maana
nakuskia tu unaongeeaaa utasema u r my Mom…. Leave me the Fuck alone…!!!
una bahati sana nina wisdom ila leo ningekutukana mbwa wewe’
‘But
naaaaaah I got my siblings tena wadogo goin thru my page so I wouldnt
want them to see things they shudnt…. But wewe Nyau… Kuna kitu
unachokitafuta kwangu and utakipata soon…. If it wasnt for my baby
nisingefanya huu upuuzi But My baby comes first…. I had to do this’
Post a Comment