WOLPER ATUPIA NGUO NYEKUNDU NA KUSEMA YEYE SIO SIMBA
Jackline Wolper aliweka picha hii matandaoni na alipoulizwa kuwa yeye ni mnyama ama la, Wolper alisema.
"Hayo Mavazi tuu mimi ni Yanga yanga yanga ..Yanga woyeeeee ..okey byee sema leo nilipenic sana".
Sasa jiulize maneno haya niyakweli au?!! Au ni Yanga Ukawa….Hehehe. Hongereni Simba na poleni sana mashabiki wa Yanga.
Post a Comment