ad

ad

WASANII 10 TOP BONGO 2014, WAMEONEKANA, WAMESIKIKA NA KUONGEZA KIPATO

Sisi ambao tunaamka na kulala na  burudani katika tasnia ya burudni ni wakati wetu wa kutoa thathminiya nini kilikuwa bota kwa mwaka huu.

Wasanii 10 ambao kwa mwaka huu wameonyesha wazi kuwa na maendeleao na bila shaka wengine wameongeza kipato ni hawa hapa chini: 

1. Diamond Platinumz
2. Weusi
3. MwanaFA
4. Ya Moto Band
5. Shilole
6. Christian Bella
7. Profesa Jay
8. Vanessa Mdee
9. Nay wa Mitego
10. Ommy Dimpoz

No comments

Powered by Blogger.