WEMA SEPETU AWAJIBU WANAOMTUKANA MITANDAONI
Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka eti kwasababu tu hawampendi.
Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz, hatimaye Wema aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna wakumpangia. Wema alisema;
"My Life... My Rules... You dont like it Unfollow me.... Jus a quick reminder.... Jamani this be my own account.... My personal account... So nitamtag yoyote ninayetaka kumtag.... na bado siku ntatag watu mtashangaa maana sasa naona tunaingiliana mpaka kwenye kupost.... Akha...!!!! Hivi lini mmeskia nafatilia mtu kwenye post zake... Tusiingiliane jamani tafadhal... nat kwenye simu yangu.... I post watever I want, wenever I want, however I want.... u gat a prob...? Deal wit it.... Talk abt entertaining people sijui wanaotukana... I can entertain anybody I want....!!!! Period.....!!!! Afu pia tusifundishane namna ya kuishi aswell.... Like I said my life, my rules....

Post a Comment