ad

ad

TAMBO ZA WAIGIZAJI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA




Jb: Hakuna miujiza aliyezoea kufungwa na leo atafungwa.poleni sana yebo yebo...(picha akiwana jezi yake nyekundu)

Riyama: Kelele za chura hazimzui ngombe kunywa maji mtoni yanga yasonga mbele.....!! nyuma mwiko #auuuu......?? mmekasirikaaaaaa kwani????????? watani wajadi pumguzeni presha mpira uwanjani damwaniiiiiiiiii

Wastara: Simba oyeeeeee leo yebo yebo kazi mnayo (picha akiwa najezi yake nyekundu)
mchopanga: Nan atakua mtani na nani ni jembee.. age kipa afe bekii....(akiwa na jezi yake njano pamojana JB)

Sabrina  “cathy”: haka karangi kanjano kana mvuto hebu leo nirudi dar tukutane taifa pale hapana chezea kabisaleo hiyo taifa lazima kieleweke (picha akiwa amevaa njano)

Riyama: simba mnyama waporini mpira kaujua lini....???? mmekasirika kwani .....?????? watani wajadi leo ndio leo asemae kesho muongo asomwana aeleke jiwe aso jiwe je ??????? ......#siyajuivoooh

No comments

Powered by Blogger.