ad

ad

PICHA ZA SIMBA VS YANGA, NANIMTANIJEMBE2


Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 2 kwa 0 dhidi ya Simba kwenye mechi ya  #NaniMtaniJembe2 .Magoli ya simba yamefungwa na Awadh Juma na Elias Maguri nakuwafanya  Simba watoke kifua mbele.
Hii ni mara ya pili Simba wanashinda #MtaniJembe, Mwaka jana walishinda kwa bao  3 -1 dhidi ya Yanga.
 simba 2simba 3simba 4simba 5simba 8simba 10

No comments

Powered by Blogger.