Ikiwa bado Watanzania tunaendelea kupiga kura kwenye app ya Miss World ili mshindi wa People’s Choice awe Happiness Watimanywa mpaka sasa amefikia top 3 na akiwa mshindi wa PCA Basi atakwenda moja kwa moja kwenye top ten ya Miss World inayofanyika leo London nchini Uingereza.
Post a Comment