Wajumbe wa Bodi Wavutiwa na Teknolojia ya Utengenezaji Kadi ya Mwanachama NSSF
Wajumbe wa Bodi ya NSSF pamoja na viongozi wa shirika hilo wakipata maelezo juu ya Mobile POS inavyofanya kazi.
Mmoja wa wafanyakazi wa NSSF tawi la Ilala (katikati) aliyezungukwa akitoa maelezo namna Mobile POS inavyorahisisha kazi ya utengenezaji kadi ya mwanachama wa NSSF kwa muda mfupi.
Meneja Kiongozi wa NSSF Temeke, Yahaya Mhamali (kulia) akitoa ufafanuzi juu ya teknolojia mpya ya kutoa huduma zote kwa wateja wao kwa kutumia tiketi maalumu ambayo mteja huchukua kwenye mashine maalumu anapofika kupata huduma anuai.

Wajumbe wa Bodi ya NSSF pamoja na viongozi wa shirika hilo wakipata maelezo namna teknolojia mpya ya kuhudumia wateja inavyofanya kazi eneo hilo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Abubakar Rajabu (kulia) akimnong'oneza jambo Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau walipokuwa katika ziara ya wajumbe wa modi katika moja ya miradi inayotekelezwa na shirika hilo.
Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo akitoa ufafanuzi juu ya jengo jipya la NSSF lililopo Ilala jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa NSSF pamoja na wahandisi wa jengo hilo wakiangalia maendeleo wa jengo jipya la NSSF lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment