MIAKA 20 YA NDOA, DEVOTA AZAWADIWA GARI
Devota akipozi na gari lake alilozawadiwa.
Akizungumza na Devota alisema anamshukuru Mungu kwa kukaa katika ndoa yake kwa amani na hatimaye kutimiza miaka hiyo kwani ni wachache wanaotimiza umri huo.“Siku niliyotimiza miaka hiyo nilikuwa nimejisahau lakini mume wangu alithamini na kunishtukiza kwa kunizawadia gari ambalo aliliandika jina langu kwenye kioo cha ‘sight mirror’ upande wa kushoto, namshukuru Mungu na mume wangu pia,” alisema Devota.

Post a Comment