ad

ad

Hemedy na Najma kunani? Picha zao za kimahaba zavuja, ziko hapa

Waigizaji wa filamu nchini ambao pia ni wanamuziki wa Bongofleva Hemedy Suleiman na Najma Datan wamezua maswali kwa watu wanaofuatilia habari za mastaa wa Tanzania baada ya picha zao wakiwa kimahaba zaidi kuanza kusambaa. Katika picha hizo zinazoonekana hapo chini wawili hao wanabusiana kimahaba kama wapenzi walioshibana. Haijajulikana kama picha hizo ni za video mpya ya muziki, filamu au ni wapenzi kweli.
Mmmh! Mmmh! Hemedy na Najma kunani? Picha zao za kimahaba zavuja, ziko hapa 1 
 Hata hivyo tayari inajulikana kuwa Hemedy kwasasa anatoka na Zuhura Gora ambaye ni model na muigizaji pia, huku Najma akiwa ameshawahi kuwa katika penzi na Mr.Blue kabla ya kuhisiwa kutoka kimapenzi na msanii mwingine Diamond Platnumz.
-Habari kwa hisani ya SwahiliWorldPlanet-
Powered by Blogger.