ad

ad

BREAKING NEWS: ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wake na Kamati Kuu ya Chadema!
Powered by Blogger.