ad

ad

UPUNGUFU WA MAJI:MATIBABU NA KINGA

Habari na Dr.Paul Masua  www.paulmasua.com
Maji ni muhimu katika mwili wa binadamu. Maji yanasaidia seli za mwili kufanya kazi vizuri. Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha upungufu wa maji mwili mfano magonjwa ya kuhara, mazoezi n.k Katika hatua za awali tatizo linweza kutibika nyumbani. Ni muhimu kupunguza na kuongeza kiasi chochote cha maji kinachotokea. .
kutibu upungufu wa maji mwilini.
vichanga na watoto wa mwaka mmjoa
hainapendekezwi kutompa mtoto maji hadi atakapopata upungufu wa maji. Watoto ni lazima wapewe maji ili kuepuka tatizo hili.
  • kama mtoto ananyonya, mama anyonyeshe mara nyingi
  • kama mtoto anakunywa maziwa ya chupa, inapendekweza kumnywesha mara kwa mara.
  • kama amepunguia  maj kwa kiasi kidogo, njia ya mdomo ijaribiwe. Kiasi kinategemea uzito wa mtoto na kiwango cha upungufu wa maji.
  • Kama kinaweza kuongez mtoto ameanza kula vyakula vya nafaka, kiasi cha maji kinachotakiwa kinaweza kongezewa na chakula. pia mtoto ale ndizi zilizopondwa au viazi kama ameisha lishwa vyakula vya namna hii.

watoto wenye umri kati ya mwaka 1 na miaka 11

  • ni muhimu wazazi kuhakikisha watoto wanakunywa maji mara kwa mara.
  • kwa watotot wenye upungufu wa maji wapewe kinywaji kilichochanganywa chumvi na sukari.. pia wapewe maji yoyote safi na salama.
  • watoto kati ya miaka 4-6 wanapaswa kunywa bilauri nane za maji kwa siku ili kusaidia kurudisha kiasi cha maji kilichopotea.Parents should allow children to drink as much water as they consider necessary.
  • maziwa na vyakula vya nafaka vinasaidia kurudisha kiasi cha maji kilichopotea.

watoto wnyewe umri zaidi ya miaka 12 na watu wazima
Kama mtu amepata uupungufu bwa maji wakati wa mazoezi au baada ya kazi anapaswa kufanya mambo yafuatayo:

  • acha kufanya kazi na apumzike dakika kadhaa.
  • ondoka kwenye jua na pumzika sehemu yanye kivuli na ubaridi
  • ondoa nguo zozote za ziada.
  • jaribu kunywa maji au kinywaji chochote mfano soda nk. inapendekezwa kunywa angalau lita mbili za maji katika masaa mawili mpaka manne.consider consuming soft drinks such as water, juice or energy
  • pumzika na endelea kunywa maji ndani ya masaa 24.

dalili za kuchunga wakati wa matibabu nyumbani

  • upungufu mkubwa wa maji (Severe dehydration);
  • kichefuchefu na kutapika;
  • kuchoka sana;
  • kutoa mkojo kidogo au kutopata kabisa mkojo.
dondoo zifuatazo zinaweza kusaidia kuzuia upungufu wa maji.


  • tibu sawasawa kuharisha, kutapika au homa
  • kunywa angalau bilauri nane  za maji kwa siku wakati wa joto au unapokuwa unafanya kza za nje 
  • inashauri kunywa maji kwa wingi wakati na baada ya mazoezi. 
  • haishauriwi kunywa vinywaji venye kahawa na cola. vinasabisha kupoteza maji kwa wingi
  • epuka vyakula vyenye protein nyingi.
  • pombe haipendekezi. ;
  • si vizuri kuongeza chumvi wakati wa kula, vyakula vingi vina chumvi  kiasi cha kutosha.
  • vaa nguo nyepesi wakati wa mazoezi. Habari na www.paulmasua.com
Powered by Blogger.