BORUSSIA DORTMUND 3 vs MALAGA 2, DORTMUND WASHINDA KIMAAJABU.
Joaquin akishangilia na wenzake baada ya kuiwasha Borussia Dortmunddakika ya 25
Robert Lewandowski akipitisha mpira juu ya kipa na kusawazisha
Ilikuwa furaha kubwa sana kwa timu ya Dortmund kwenye muda wa dakika za lala salama, Wachezaji wakicheza kwa presha kubwa na bila kukata tamaa dakika hizo za za 90 wakapata neema ya kurudisha bao na kufunga bao la kukata tiketi ya kuwasongesha mbele zaidi. mchezaji Marco Reus akafunga bao dakika ya 90' +1' na mchezaji Felipe Santana akafunga bao dakika ya 90' +2.
Borussia Dortmund wameshinda kwenye dakika za majeruhi bao 2 zote...hakunaga..
Post a Comment