HATIMAYE KITALE AFUNGA PINGU ZA MAISHA
Habari na Saluti 5
Harusi hiyo iliyofanyika Mwananyamala jijini Dar es Salaam ilihudhuriwa na wasanii wengi wa Movie pamoja na Bongo Fleva.
KAMA
tulivyoripoti siku ya Ijumaa kuwa Yussuf Mussa Kitale anaoa Jumapili,
hatimaye msanii huyo jana mchana alifunga pingu za maisha na bibie
Fatuma Salum Abbas.
Kukamilika
kwa tukio hilo kunahitimisha maisha ya uchumba wao wa muda mrefu tangu
wakiwa shuleni na baadae kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume
waliyempa jina la Hemed.
Baba Mzazi wa Kitale
Bi Fatuma akiwa mtoto wao Hemed Kitale

Post a Comment