RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiashuhudia
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa
Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa wakila kiapo cha maadili ya
viongozi baada ya kula kiapo kuwa mabalozi katika hafla iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa
Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa wakimsikiliza Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba
akiongea machache baada ya mabalozi hao kula kiapo katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza
Mhe. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza
Dkt. Wilbrod Slaa baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Sweden katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo
Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yakubu Mohamed aliyeungana na
viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama kushuhudia kuapishwa
kwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa
Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa katika hafla iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan
Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili
katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst) Harold
Nsekela na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi wakiwa katika picha ya
kumbukumbu na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi
hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan
Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili
katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst) Harold
Nsekela na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi na wakuu wa vyombio
vya ulinzi na usalama wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa
Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania
nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi hao kula kiapo katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16,
2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan
Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili
katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst) Harold
Nsekela na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi na maofisa kutokla
Wizara ya Mambo ya Nje wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa
Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania
nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi hao kula kiapo katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16,
2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
(DCEA) Bw. Rogers Sianga pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi
na usalama waliofika kushuhudia kuapishwa kwa Balozi wa Tanzania nchini
Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt.
Wilbroad Slaa katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
asubuhi leo Februari 16, 2018 .
PICHA NA IKULU
Post a Comment