Carrick Aendelea Kung’ara, Man United Yaimarisha Nafasi ya Nne EPL
ENGLAND: Ikiwa chini ya Kocha Michael Carrick, Timu ya #ManchesterUnited imepata ushindi wa nne mfululizo katika Premier League baada ya kuifunga #TottenhamHotspur Magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Old Trafford, wafungaji wakiwa ni Bryan Mbeumo na Bruno Fernandes.
Man United imeendelea kubaki nafasi ya 4 ikifikisha pointi 44, ambapo mchezo ujao itaivaa West Ham United wakati Spurs itaivaa Newcastle United, michezo yote ikitarajiwa kuchezwa Februari 10, 2026.

.jpg)
Post a Comment