Picha za JLO Akila Bata na Mpenzi Wake Ufukweni Italia
Maisha yanataka nini tena? Una pesa, unakwenda unapotaka na kufanya
unavyotaka. Utakachokifikiria moyoni mwako ni kumtumikia Mungu tu. Huku
akiwa kwenye penzi jipya na mpenzi wake, Alex Rodgruez, mwanamama
asiyeisha hamu, Jeniffer Lopez ameonekana akila bata na mpenzi wake
nchini Italia.
Nimekuwekea picha hapa chini uzitazame uone jinsi watu wanavyoweza kuyafurahia maisha, huku akaunti zao za benki zikisoma mkwanja wa kutosha.
Akijipulizia body spray.

Alex akijirusha baharini.
Wakiwa wamepumzika.
Nimekuwekea picha hapa chini uzitazame uone jinsi watu wanavyoweza kuyafurahia maisha, huku akaunti zao za benki zikisoma mkwanja wa kutosha.
- Wakiwa ndani ya boti.
- Walipokuwa wakiingia kwenye boti.

- Wakichati kama kawa.

Alex akijirusha baharini.

Wakiwa wamepumzika.
Post a Comment