ad

ad

PAPII Kocha Apewa OFA ya Mapenzi na Aunt Lulu (Video)

MWANADADA aliyewahi kuwa mtangazaji ambaye haishiwi na matukio, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amesema kuwa yupo tayari kumpa ofa ya mapenzi mwanamuziki Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ mpaka asahau maisha aliyopitia.

Akiongea Aunt Lulu alisema amemuona Papii amekuwa mpya na anapendeza kila kukicha hivyo amejitolea kumpatia penzi iwapo atamkubalia ili asahau kabisa shida za dunia.

No comments

Powered by Blogger.