Video: Siri Ya WEMA SEPETU Kupukutika Yafichuka!
“Unajua nilikuwa nikiangalia kila nguo ninayovaa inanibana. Wakati mwingine ni kubwa kabisa, lakini inakuwa hainitoshi, nikaona nina kila sababu ya kupunguza huu mwili ambao siyo mzuri hata kiafya,” alisema Wema. Wema ambaye wikiendi iliyopita alikuwa nchini Rwanda kwa ajili ya Shoo ya Instagram Party alisema kuwa, sasa hivi anafanya mazoezi takriban mwezi mmoja, lakini ameanza kuona matunda yake na anajilaumu alikuwa wapi kwa kipindi chote hicho na kushindwa kufanya mazoezi kwani mwili aliokuwa nao usingekuwepo. “Nina mwezi mmoja sasa tangu nianze mazoezi ya kupunguza mwili, lakini ninafurahia maisha haya na najuta kwa nini sikuanza mapema,” alisema Wema.SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Post a Comment