ad

ad

Ligi Ya Mabingwa Ulaya Kuendelea Leo, Ratiba Ipo Hapa

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuendelea leo Jumanne na kesho Jumatano ikiwa ni hatua ya makundi ambapo kutakuwa na michezo mbalimbali.

Mabingwa watetezi, Real Madrid wanatarajiwa kuwa ugenini kukipiga dhidi ya APOEL ya nchini Cyprus huku Madrid wakimkosa nahodha wao Sergio Ramos ambaye ni majeruhi.

Wapinzani hao wa Madrid hawajashinda mchezo hata mmoja katik Kundi H, hivyo mchezo huo unatarajiwa kuwa mwepesi kwa Madrid ambao wanahitaji ushindi baada ya kutokuwa na matokeo mazuri katika mechi za hivi karibuni.

Mechi za leo Jumanne katika Uefa Champions League

BeÅŸiktaÅŸ v Porto

Spartak Moskva v Maribor

Borussia Dortmund v Tottenham Hotspur

Napoli v Shakhtar Donetsk

Sevilla v Liverpool

APOEL v Real Madrid

Manchester City v Feyenoord

Monaco v RB Leipzig

Mechi za kesho Jumatano katika Uefa Champions League

CSKA MoskvavBenfica

QarabaÄŸvChelsea

JuventusvBarcelona

Basel v Manchester United

Anderlecht v Bayern München

Sporting CP v Olympiakos Piraeus

Atlético Madrid v Roma

PSG v Celtic

No comments

Powered by Blogger.