ad

ad

BREAKING NEWS: MAGUFULI AMTEUA DKT SLAA KUWA BALOZI


Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, Leo Novemba 23, amemteua Dkt Willbord Slaa, kuwa balozi.
Kwa mujibu wa taarifa ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu, Dkt Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.

No comments

Powered by Blogger.