Warembo walioshiriki Miss Ustawi wa Jamii 2017, Wakiwa katika Mapozi
Warembo watakaojimwaga siku hiyo ni
Ruth Deouratius ,Melody Thomas, Elizabeth Julius, Careen Kileo, Loyce
Jeck ,Diana Wambura , Angela Milanzi pamoja na Elice Mwakajila .
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja kwa pozi mbalimbali watavyokwenda
katika kinyanganyilo hicho kitachofanyika Mei 19 katika ukumbi wa King
Solomon jijini Dar es Salaam.
Post a Comment