Hatimaye Ben Pol na Ebitoke Wakutana Live!
Pamoja na maneno lukuki toka kwa mashabiki na mabingwa wa chuki binafsi (haters) wawili hao wamekutana na kula bata kiaina kisha kupiga photo shoot. Picha hizo zimelipua upya wafatiliaji wa mitandao ya kijamii hasa baada ya kila mmoja kuweka kwenye akaunti yake na kuandika ya moyoni mwake.
Katika kursa zao za Instagram, Ben Pol na Ebitoke wameandika:
"Hakuna
kitu kizuri kama kujishusha na kukubali kujifunza pale unapoona kuna
jambo zuri la Kujifunza. Ikiwa unampenda mtu Au unatamani nafasi fulani,
utajuaje kama unaweza kuipata hiyo nafasi au la Ikiwa haujaiomba kwa
Mhusika? Naamini watu wengi sana wameoa ama kuolewa na watu wasiowapenda
kwa sababu tu walipoteza nafasi za kuwaambia hisia zao wale Wawapendao,
Mwishowe walipokuwa tayari kuwaambia, ikawa Too late. Ikumbukwe humu
duniani sisi sote TUNAPITA, na labda huyo Mtu kesho hatokuwepo. Ebitoke
umenifundisha jambo KUBWA SANA maishani, najua wengi walikubeza sana ,
wengine walikuambia hautaweza hata kuonana na Mimi.. lakini huwezi amini
Mimi nimefurahi mno!! kukutana na wewe na kuongea, na nimepata jambo
kubwa sana. Na Nitayaishi Maneno yako . Nakushukuru sana, Mwenyezi
Mungu akuzidishie. You are THE BEST !!@ebitoke #blessed " Mwanadada Ebitoke safari hii amekuwa na machache kuelezea hisia zake kwa kuandika: "Asante Mungu
You are the real GENTLEMAN @iambenpol "
You are the real GENTLEMAN @iambenpol "
Post a Comment