Elice Mwakanjila ameibuka Miss Ustawi wa Jamii, 2017 iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga jijini Dar msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol, Mgogosi na wengine kibao waliporomosha burudani ya ukweli.
Post a Comment