ad

ad

EXTRA BONGO YARUDI UPYA, YATAMBULISHA WATATU WAPYA


 Mkurugenzi wa bendi hiyo, Ali Choki (aliyeshika karatasi) akizungumza mbele ya waandishi wa habari.
Kiongozi wa wanamuziki, Super Nyamwela akizungumza machache kuhusu ujio mpya wa bendi hiyo.
Mwakilishi wa kampuni ya MACHAPTA  ambayo ndiyo wadhamini.

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, bendi ya muziki wa dansi, Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ wamerudi ulingoni upya ambapo wamewatambulisha wanamuziki watatu kutoka nchini Kongo.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Meeda jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa bendi hiyo, Ali Choki alisema baada ya kukaa miezi miwili bila kufanya maonesho baada ya kufiwa na mkewe hivi sasa wamerudi kwa upya na wameongeza wanamuziki watatu kutoka Kongo ambao ni kwa ajili ya kuongeza nguvu zaidi.

No comments

Powered by Blogger.