KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA
Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi
wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha
kujadiliana kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016
ambapo wamejadili na kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo
Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.

Katibu
Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole
Gabriel akifafanua jambo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na
Maendeleo ya Jamii katika kikao cha majadiliano ya Muswada wa Sheria ya
Huduma za Habari leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(kulia) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za
Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara
yake leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson
(kushoto) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za
Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara
husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari
kati ya Kamati hiyo na Wizara husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO

Post a Comment