Kidoa, Giggy pachimbika...kila mmoja akijiona yupo juu kuliko mwenzake!
kizungumza
na Ijumaa Wikienda kupitia Global TV Online, Giggy alidai kuwa yeye ni
mkali na habebwi kama ilivyo kwa Kidoa hivyo siyo levo yake.Alipotafutwa Kidoa hakupatikana kujibu mapigo ya Giggy ambaye amekuwa akimchana Kidoa mara kadhaa.

Post a Comment