Tazama ‘teaser’ ya video mpya ya Lady Jaydee aliomshirikisha Dabo ‘Forever’ ambao audio yake imetoka leo. Video imeongozwa na Adam Juma na inatarajiwa kuzinduliwa Nov.28.
Post a Comment