ad

ad

WEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE

 
Wema akishukuru baada ya dua.
 
Diamond akiwa katika dua.
 
Baadhi ya futari.
 
Baadhi ya wahudhuriaji wakiendelea kufuturu.
 
Baadhi ya wahudhuriaji akiwemo meneja wake Diamond, Babu Tale, wakimalizia futari.
 
Baada ya kufuturu wakibadilisha mawazo.
 
Wema akiwa na mawifi zake
 
Wema akiwa na mkwe wake pamoja na shosti yake Aunt Ezekiel.
 
Wema akideka kwa mkwe wake mama Diamond.
MSANII wa filamu bongo Wema Sepetu amefuturisha  nyumbani kwake Kijitonyama jana jioni.

No comments

Powered by Blogger.