ad

ad

TANGAZO LA KAZI NAFASI 560 ZA WADADISI KUTOKA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU, AUGUST 2017


Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inawatangazia watanzania wenye sifa kuomba kazi ya muda ya
udadisi au ukusanyaji wa takwimu nafasi 560 kwa ajili ya Utafiti wa Kilimo wa Mwaka 2016/17
utakaofanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Utafiti huu unahitaji mwombaji atoke kwenye
mkoa anaoishi na awe tayari kufanya kazi kwa kipindi chote cha mwezi mmoja (1).
Waombaji wanatakiwa kuwa ni watanzania wenye sifa zifuatazo;
a) sifa za msingi:-
i. Umri wa miaka 18 na kuendelea,
ii. Elimu ya kuanzia Kidato cha Nne,
iii. Mkazi kutoka katika Mkoa husika.
b) sifa za ziada:-
i. Elimu ya Cheti cha Ukusanyaji Takwimu rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki
mwa Afrika (EASTC),
ii. Uzoefu wa kazi ya kukusanya takwimu katika tafiti mbali mbali zilizofanywa na NBS,
iii. Uzoefu wa kufanya Utafiti wa Kilimo wa Mwaka 2014/15.
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji akionesha anuani kamili na namba yake ya
simu pamoja na kuambatisha nakala ya vyeti vyote vya elimu na mafunzo, wasifu wa mwombaji
(CV).
Barua ya maombi ya kazi itumwe kwenye Ofisi ya NBS ya Mkoa ambako unaishi. Maombi
yanatakiwa yatumwe kabla ya tarehe 09 Septemba, 2017 (Anwani za kila Ofisi ya mkoa ya Ofisi ya
Taifa ya Takwimu zimeambatishwa na tangazo hili.)
NB: i. Tangazo hili linapatikana kupitia www.nbs.go.tz pamoja na www.eastc.ac.tz
ii. Wale watakaochaguliwa kwa ajili ya usaili ndio watakaoitwa. NBS haitahusika na
gharama za kuja kwenye usaili huu.
IMETOLEWA NA
MKURUGENZI MKUU
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
24 Agosti, 2017
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 7108,
ARUSHA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 891,
DODOMA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 42444,
DAR ES SALAAM.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 1,
KILIMANJARO.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 1932,
MWANZA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 1299,
KAGERA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 953,
KIGOMA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 506,
LINDI.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 89,
MANYARA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 769,
MARA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 739,
IRINGA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 841,
MBEYA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 30080,
PWANI.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 797,
RUKWA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 566,
TANGA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 703,
TABORA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 2134,
SHINYANGA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 807,
SINGIDA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 581,
MOROGORO.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 56,
MTWARA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 397,
RUVUMA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 83,
SIMIYU.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 275,
GEITA.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 260,
KATAVI.
Meneja Takwimu wa Mkoa,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 739,
NJOMBE.
Powered by Blogger.