ad

ad

Makundi ya Kagame Cup Yatangazwa


Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza makundi ya michuano ya Kagame Cup inayotarajia kufanyika nchini Rwanda kuanzia Agosti 8. Wawakilishi wa Tanzania Yanga wamepangwa kundi A wakiwa na wenyeji Rayon Sport pamoja KMKM kutoka Zanzibar, Coffee ya Ethiopia na Atlbara ya Sudani Kusini. Makundi yako kama ifuatavyo:

Kundi A:
Rayon Sport (Rwanda)
Yanga (Tanzania)
Coffee (Ethiopia)
Atlbara (South Sudan)
KMKM (Zanzibar).

Kundi B:
APR (Rwanda)

KCC (Uganda)
Flambeau de l’est (Burundi)
Gor Mahia (Kenya)
Telecom (Djibouti)

Kundi C:
Vital’O (Burundi)
El Merreikh (Sudan)
Police (Rwanda)
Benadir (Somalia)

No comments

Powered by Blogger.