ad

ad

MREMBO WA KENYA AANZISHA APP YAKE YA SIMU KWENYE GOOGLE STORE KWAAJILI YA PICHA ZA ‘ASSET’ YAKE




Huyu ndiye video vixen aliyesababisha video ya P-Unit ‘You Guy’ kufungiwa Kenya kutokana na kuwa ‘too sexy for TV’. Pia ameonekana kwenye video ya Prezzo ‘My Gal’.
Ndivyo inavyoonekana ukiisha download kwenye simu
Kama una smart phone jaribu kusearch ‘Vera Sidika’ kwenye Google Play, na utakapo install utakutana na picha mbalimbali za ‘asset’ ya mrembo huyo.
Application hiyo imewekwa kwenye kitengo cha burudani na ina maelezo mafupi tu yanayosomeka ‘A Kenyan Socialite’.


No comments

Powered by Blogger.