ad

ad

DAVINA: Filamu imebuma, najiongeza


MSANII wa fi lamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameweka wazi kuwa baada ya sanaa hiyo kuonekana kubuma, sasa ameamua kujiongeza kwa kufanya biashara ya kufuata bidhaa nje ya nchi. Akipiga stori , Davina alisema baada ya kumaliza kampeni za uchaguzi ameamua kujikita kwenye
biashara ya kusafi ri nje ya nchi kutokana na soko la fi lamu kwa sasa kuwa baya tofauti na miaka iliyopita. “Nimeamua kujiingiza kwenye biashara ndogondogo
ya kusafi ri nje, nitachukua biashara Mombasa, Kenya na nchi zingine na kuzileta Bongo, naamini maisha yataenda tu kwa sababu nikitegemea fi lamu itakula kwangu,” alisema.
Powered by Blogger.