Rais Magufuli amuapisha Katibu Mkuu Kiongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William
Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi Kijazi anachukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefue ambaye atapangiwa
kazi nyingine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Eng. John William Herbert Kijazi wakwanza kushoto
na Wamwisho kulia ni aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Eng. John William Herbert Kijazi aliyekuwa Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue pamoja na viongozi Wakuu wa Ulinzi na
Usalama nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Eng. John William Herbert Kijazi pamoja na Makatibu Wakuu
wa Wizara mbalimbali mara baada ya kuisha tukio la Uapisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Eng. John William Herbert Kijazi pamoja na Manaibu Katibu Wakuu
wa Wizara mbalimbali mara baada ya kuisha tukio la Uapisho Ikulu jijini
Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)

Post a Comment