ad

ad

YANGA YATUA SALAMA JIJINI CAIRO

KIKOSI KIZIMA CHA YANGA

Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga wametua salama jijini hapa.

Lakini uwanjani hapo kukawa na tafrani kubwa kwa kuwa waandishi walitaka wazungumze. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Yanga aliyezungumza.
MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA, CLEMENT SANGA NA KOCHA MKUU, HANS VAN DER PLUIJM.
Badala yake walipanda kwenye basi walilokuwa wamekusudia na kuondoka uwanjani hapo.
Waandishi hao walitumia muda mwingi kuwapiga picha na kulipiga picha basi hilo.
HABARI NA SALEHJEMBE ,CAIRO
Powered by Blogger.