OSHA WAENDESHA MAFUNZO JIJINI ARUSHA
...Wafanyakazi wakiendelea kusikiliza kwa makini.
OSHA (Occupational Safety & Health Administration) waendesha mafunzo ya watoa huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wa Viwandani, Makampuni ya tours, maofisini pamoja na Migodi katika jiji la Arusha , Mafunzo hayo yaliyoanza siku ya jana 5 Machi 2014 yatakua ya siku tatu yatayomalizika hapo tarehe 7 Machi 2014.
Kimsingi mafunzo hayo ni mazuri sana, yanayoendeshwa na Dk Omary Abdulslaam na Elida Macha wote kutoka Dar walimu (wakufunzi waliobobea kutoka makao makuu ya OSHA Jijini Dar es salaam.
Mwandishi wetu aliekuwa eneo la tukio aliwapongeza sana kwa kutoa elimu kwa mifano kwa wafanyakazi wa makampuni malimali jijini Arusha.
PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, ARUSHA
Post a Comment