NORA ATESWA NA MATAPELI
Nuru Nassoro ‘Nora’.
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa anakerwa
na matapeli walioibuka ambao wanawatapeli wasanii wa kike
wakiwadanganya kwamba wanawachezesha filamu kumbe ‘changa la macho’.
“Walinikera sana, waliniambia kwamba wanataka kunichezesha filamu lakini nilipoenda kuonana nao walibadili mazungumzo na kuanza kunitaka kimapenzi, ujinga mtupu, niliwakatalia,” alisema Nora.

Post a Comment