MAYA: ATAKAYENIOA ATAFAIDI
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa
bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi
wa kupika.
Maya alifunguka hayo juzikati wakati paparazi wetu alipombananisha juu ya uwezo wake kwenye ‘sekta’ ya mahanjumati ndipo alipofunguka kuwa yeye ni hodari katika eneo hilo.
“Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya kushindwa kupika, atakayenioa atafaidi mahanjumati ya ukweli kabisa, chezea mimi wewe!” alijisifia Maya.

Post a Comment